Ndugu GRESMOND BAMBAZA (BSW3)
Afariki dunia usiku wa kuamkia jana tarehe 14/08/2013 Ambaye aliwahi kuwa waziri mambo ya ndani na mahusiano ya club kwenye serikali ya Frank nkinda
Alikua akisumbuliwa muda kidogo, na aliangaika sana na ugonjwa..tatizo lilomsumbua ni vidonda kwenye koo alikua akishindwa kula vizuri na alikua akisumbuliwa na vidonda vya tumbo pia
leo wanasafirisha kwenda mkoani kagera maziko yatakua huko, taratibu za kuaga mwili wa marehemu zitakua nyumbani kwao kimara corner..
taarifa zaidi muda nk.. piga simu nambari 0713515264- YOHANA MABENA vice president.
inllah lilah wainla lilah rajiun
MUNGU ailaze roho ya marehemu mahala pema pepon
AMIN.
No comments:
Post a Comment